Lulu Press Inc

Simulizi Za Bi Time

Simulizi Za Bi Time

Produktbeskrivelse

Huu ni mkusanyiko wa hadithi za paukwa-pakawa zinazosimuliwa katika jamii za Waswahili wa visiwa vya Zanzibar kama ambavyo mwandishi anazikumbuka. Huenda usimulizi wa upande mmoja wa jamii ya Waswahili ukatafautiana na wa jamii nyengine, lakini kwa kuwa wenyewe husema 'Hadithi ina ncha saba', basi hii ni moja kati ya ncha hizo.

Prishistorikk

Lavest
96 KR
Høyest
100 KR
Gjennomsnitt
97 KR
Median
98 KR

📩 Sett prisvarsel

Få beskjed når prisen når ønsket nivå.

Produktspesifikasjoner

Merke Lulu Press Inc
Navn Simulizi Za Bi Time
GTIN/EAN/ISBN 9781471606656
Kategorier Bøker