MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS

Kufa na Kupona

Kufa na Kupona

Produktbeskrivelse

Nyaraka za siri zimeibiwa kutoka osi moja ya wapigania uhuru jijini Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania inaingiwa na hofu kuwa nyaraka hizo zitaishia mikononi mwa adui na kuhatarisha maisha ya watu wengi wasio na hatia. Kutokana na ishara maalumu inasadikiwa kuwa majasusi hao wamekimbilia jijini Nairobi. Mpelelezi nguli, Willy Gamba, anapewa kazi ya kuwatafuta popote walipo, kwa gharama yoyote na kuwapokonya nyaraka hizo. Kazi hiyo lazima ifanyike haraka kabla hawajaziuza kwa adui. Muda unazidi kwenda na mapambano ya kuwasaka majasusi hao yanazidi kuwa makali na hakuna huruma. Pande zote zinapoteza watu muhimu. Wapelelezi, majasusi na raia wengine wasio na hatia wanauwawa. Wakati wote huo Willy Gamba anaendelea na upelelezi wake mgumu na ndipo anapokutana na mrembo Lina. Lakini mrembo huyu yuko upande gani? Na Lulu je? Je Chifu yupo sahihi anapomwonya Willy Gamba asimwamini mwanamke yeyote mrembo? Willy Gamba na wenzake wanabanwa vilivyo lakini hawana ruhusa ya kushindwa. Maisha ya

Prishistorikk

Lavest
269 KR
Høyest
275 KR
Gjennomsnitt
274 KR
Median
275 KR

📩 Sett prisvarsel

Få beskjed når prisen når ønsket nivå.

Produktspesifikasjoner

Merke MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS
Navn Kufa na Kupona
GTIN/EAN/ISBN 9789987083138
Kategorier Bøker